Usajili wa ajibu.html

Ajibu ameiambia Goal, alikuwa na matumaini makubwa ya kutua Misri, lakini sasa ndoto zake zimefutika baada ya 5 Jul 2017 Uongozi wa klabu ya Yanga leo umemtamburisha rasmi mchezaji Ibrahim Ajibu baada ya kuingia kandarasi ya miaka miwili kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo katika msimu ujao wa ligi kuu ya Tanzania bara na michuano mingine. Endapo Yanga watatangaza usajili huo mapema, Simba wanaweza kuandaa malalamiko ya ajibu kwa maana 18 Jul 2017 Tangu itangazwe kuwa mshambuliaji Ibrahim Ajibu amesajiliwa na Yanga akitokea Simba, mchezaji huyo amekuwa akitumia mitandao ya kijamii kutoa maneno ambayo yametafsiriwa kuwa ni kama vijembe. Yanga imempa mkataba wa miaka miwili mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajibu wenye thamani ya Sh50 milioni na gari lakini Simba wao wamesema kwamba hawakuwa na mpango naye na tayari Kamati ya Usajili ilikata jina lake. Mnyama anafanya usajili wa nguvu kujiimarisha kwa ajili ya Kombe la Shirikisho mwakani pamoja na kuhakikisha anatwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu ujao baada ya kuukosa muda 7 Okt 2017 ETI, Ibrahim Ajibu ni mvivu wa mazoezi asiyependa kujituma akiamini ameshaujua mpira tayari. com Mohammed 23 Sep 2016 Dar es Salaam. na kujiunga na mahasimu wa klabu walizozihama. Kuelekea usajili mkubwa, Simba ilimleta kiungo Mghana, James Kotei ili kuja kumchangamsha Mkude. Nyota huyo ambaye amejiunga na Yanga msimu huu akitokea klabu ya Simba, ameibuka mchezaji wa wiki kufuatia kuwapiga chini nyota kadhaa waliokuwa na kiwango 25 Jul 2017 Baadhi ya wachezaji waliosajiliwa hivi karibuni ni Emmanuel Okwi kwa upande wa Simba na Ibrahim Ajibu upande wa Yanga. Kwa ujumla, wadau hasa mashabiki wa Simba, waliwavisha tabia hizo wawili hao ili tu umma ujue 7 Jan 2018 Zanzibar. Wakati wakiwa kwenye kiwango kizuri msimu huu na kutakiwa sana hasa kwenye mchezo ujao dhidi ya watani zao, Yanga, Oktoba Mosi, wachezaji nyota watatu wa Simba, kiungo na nahodha Jonas Mkude na mshambuliaji Ibrahim Ajibu wanasikilizia ofa kutoka ndani na nje ya klabu hiyo 15 Jun 2017 Dar es Salaam. Ajib kutoka Simba kwenda Yanga Niyonzima kutoka Yanga kwenda Simba. Katika utambulisho huo, Ajibu amekabidhiwa jezi namba 10 mbele ya Katibu Mkuu wa Yanga, Boniface Mkwasa, Meneja wa Yanga, Hafidhi Saleh na Husein Nyika ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Yanga. . (Na Mpigapicha Wetu). Ajibu naye alifunga bao la pili katika kipindi cha pili kwa akili kama hiyo akipiga shuti la hesabu lililokwenda nyavu ndogo akitumia mguu wake wa kulia, lakini pasi ya bao hilo ilitengenezwa na Chirwa akitumia mguu wa kulia. Ajibu amewaambia Wanayanga kuwa matokeo yasiyoridhisha wanayoyapata hivi sasa, ni sehemu ya mchezo, hivyo 15 Okt 2017 Haruna Niyonzima na Ibrahim Ajib ni wachezaji waliozungumzwa sana wakati wa dirisha la usajili kabla ya kuanza kwa msimu huu kwa sababu ya kuhama kutoka klabu zao. Akiongea na kwataunit. Ajibu ni miongoni mwa wachezaji wa Simba ambao 24 Jun 2017 Kuna watu bado hawaamini kama ajibu kasaini yanga, Taarifa ambayo imetufikia inasemekana Yanga hawawezi kuweka hadharani usajili wa Ajibu kwa maana bado ana mkataba na simba. Katibu mkuu wa Yanga,Charse Boniphace Mkwasa amesema kwamba usajili . html . html7 Nov 2017 Baada ya Yanga kupata matokeo ya 0-0 dhidi ya Singida United, kisha presha kuanza kupanda miongoni mwa mashabiki wa timu hiyo, mshambuliaji wao Ibrahim Ajibu ametoa neno. 15 Okt 2017 Haruna Niyonzima na Ibrahim Ajib ni wachezaji waliozungumzwa sana wakati wa dirisha la usajili kabla ya kuanza kwa msimu huu kwa sababu ya kuhama kutoka klabu zao. Uhamisho wa Ajibu ulikamilika lakini kukiwa na maneno ya hapa na pale kwa kuwa timu hizo ni 7 Nov 2017 Baada ya Yanga kupata matokeo ya 0-0 dhidi ya Singida United, kisha presha kuanza kupanda miongoni mwa mashabiki wa timu hiyo, mshambuliaji wao Ibrahim Ajibu ametoa neno. Kwasi amejiunga na Simba kutoka Lipuli ya Iringa katika usajili wa dirisha dogo lililofunguliwa 6 Jul 2017 Mshambuliaji mpya wa Yanga, Ibrahim Ajibu akiwa ameshika jezi baada ya jana kusaini mkataba wa miaka miwili kuichezea timu hiyo ya Jangwani akitokea Simba SC. . usajili wa ajibu. Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa Yanga Hussien Nyika amesema: “Nimefurahishwa na safu hii Simba imeaga mashindano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuchapwa bao 1-0 na URA katika mchezo wa mwisho wa Kundi A. Alfred amesema timu 24 za Ligi Daraja la Kwanza na 24 Ligi Daraja la Pili zinatakiwa kukamilisha mfumo wa usajili kwa kuwa imesalia wiki moja tu kabla ya mfumo kufungwa. 3 Jan 2017 Mpango wa mshambuliaji wa Simba Ibrahim Ajibu wa kujiunga na Haras El Hodoud ya Misri umeshindikana baada ya dirisha dogo la usajili fungwa jana saa 6:00 kwenye ligi ya taifa hilo. 16 Okt 2017 Ibrahim Ajibu amefanikiwa mkuwa mchezaji bora wa wiki baada ya kuwa na kiwango bora dhidi ya Kagera Sugar, Jumamosi iliyopita. Kushoto ni Meneja wa Yanga, Hafidh Saleh na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili Yanga, Hussein Nyika. Ajibu amewaambia Wanayanga kuwa matokeo yasiyoridhisha wanayoyapata hivi sasa, ni sehemu ya mchezo, hivyo 5 Jul 2017 Ajibu ataitumikia Yanga kwa miaka miwili kama mkataba wake unavyosema. usajili wa ajibu. 16 Nov 2017 Mchezaji Mohammed Issa ambaye amekuwa Gumzo kwenye mitandao ya kijamii na Vyombo vya habari kutokana na uwezo wake mkubwa wa kucheza mpira awapo uwanjani hasa kutokana na Uhodari wake wa Kucheza katika nafasi ya Kiungo wa Ushambuliaji. Baada ya kufunga bao katika mchezo wake wa kwanza, beki wa Simba, Asante Kwasi amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu ubora wa washambuliaji Obrey Chirwa na Ibrahim Ajibu wa Yanga